LEO Novemba 21, Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kwa michezo minne kupigwa Kwenye viwanja vinne tofauti.
Mambo yapo namna hii:-
Polisi Tanzania v Ihefu, Azam Complex, saa 8:00 mchana.
JKT Tanzania v Gwambina, Jamhuri Dodoma, saa 8:00 mchana.
KMC v Azam FC, saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru.
Coastal Union v Simba, Saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
0 COMMENTS:
Post a Comment