Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Novemba 21
FT: Coastal Union 0-7 Simba
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
Dakika 90 zimekamilika
Dakika ya 85 Clatous Chama goooooal kwa mpira wa adhabu nje ya 18.
Dakika ya 80 Bernad Morrison anapiga mpira nje ya 18
Dakika ya 79 Nurdin anafanya jaribio linaokolewa na Manula.
Dakika ya 76 Kahata na Albano wanapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 74, Wawa anapiga faulo haileti bao
Dakika ya 68 Ibrahim Ame anaingia kuchukua nafasi ya Onyango, Kahata anaingia kuchukua nafasi ya Dilunga.
Dakika ya 66 Nuhudin Hamisi anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 56 Coastal Union wanafanya mashambulizi kwa Manula.
Coastal Union 0-6 Simba
Goal Clatous Chama dk 59
Kipindi cha pili
John Bocco anatoka nafasi yake anaingia Ibrahim Ajibu
Mapumziko Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Coastal Union 0-5 Simba
Zinaongezwa 2
Dakika ya 45 Morrison anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 40 kipa wa Coastal Union anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 37 Bocco anafunga bao akiwa nje ya 18
Dakika ya 35 Nyoni anabinuka na kuachia shuti linaokolewa
Dakika ya 34 Chama anapiga faulo kwa Kapombe ambaye anajaza majalo kati yanaokolewa
Dakika ya 30 Issa Abushee anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 28, John Bocco anafunga bao la pili kwake na kufikisha jumla ya mabao 3
Dakika ya 27 Ndemla anacheza faulo
Dakika ya 24 John Bocco anafunga goal la pili
Dakika ya 23 Mtenje anafanya jaribio linaishia kwa Manula
Dakika ya 20 Manula anaipandisha timu
Dakika ya 19 Bocco anafanya jaribio halileti matunda
Dakika ya 16 Coastal Union wanapiga kona fupi haizai matunda.
Dakika ya 14 Clatous Chama anapiga faulo inagonga mwamba
Dakika ya 13 Tshabalala anachezewa faulo
Dakika ya 10 Simba wanapeleka mashambulizi Coastal Union
Dakika ya 6 Dilunga anafunga Gooooal la kuongoza kwa Simba pasi ya John Bocco.
Dakika ya 4 Hassan Dilunga anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18.
Nina hakika ingekuwa sheria za soka zinaruhusu timu kufanya mabadiliko ya timu nzima basi leo Simba wangechezesha vikosi viwili maana imekuwa ni kama wapo mazoezini
ReplyDeleteLeo si chini ya goli saba
ReplyDeleteNaendelea kushuhudia magoli ya offside
ReplyDeleteFuta yote ya offside bakiza ya inside mechi iendelee
DeleteMmeanza
DeleteHata lile goli la Gwambina dhidi ya utopolo, lilkuwa goli halali kabisa, hata Kagera walinyimwa penalti dhidi ya utopolo, hata ile penalti waliyopewa utopolo dhidi ya KMC haikuwa penalti , mwisho kabisa hata ile penalti ya utopolo dhidi ya simba haikuwa penalti kwa maana nyingine kama sheria 17 za soka zingefuatwa Yanga mpaka sasa ingekuwa nafasi ya 5 povu ruksa, ila uo ndio ukweli
DeleteKuna watu wanateseka naona kama wameanza kutoa yao
ReplyDeleteDakika ya 56'; Simba 2, Coast Union 0
ReplyDeleteSawa,vipi kuhusu point?
DeleteNasikia kocha wa Coastal ameomba po! anawaambia wachezaji wa Simba waache sifa maana zitawaponza mbele ya safari
ReplyDeleteNa Azam vp
ReplyDeleteAzam kalala 1 bila
DeleteMwandishi mnyonge kwelLeo saba hajaikweleza vzr kama moja HV!7
ReplyDeleteHao kandambili aka vyura aka GONGOWAZI inawauma sana wameoea kubebwa
ReplyDeleteUtopolo semeni Tena.
ReplyDeleteNikweli lile Bao la Chama la Nje ya 18 unaweza kwenda kuombea Mkopo wa bila riba na ukasikilizwa na kupatiwa, maana hakuna kipa anaweza kudaka. Tuliomba na tunaendelea kuomba timu ya Simba iendelee kuwatumia wachezaji wote bila kupoteza focus ya Ushindi, kitendo cha kuingia AME, AJIBU na KAHATA kumetupa moyo zaidi pia tunahitaji kumuona Gadiel Michael nae akicheza kwa jihadi zaidi kama Ndemla. Mungu wabariki Benchi la Ufundi, viongozi, mashabiki na sisi wapenzi wa Simba Sports Club ya Tanzania.
ReplyDeleteMwandishi chuki imemjaa yani kaandika basi ila ingekuwa hao kandambili amgeandika maneno ya sifa mapicha kama yote ya GONGOWAZI mtu kapigwa wiki
ReplyDeleteAandike kuwasifia vipi wakat magoli 3 ya offside?
DeleteWaziri kuna goal pia limekataliwa. GOLI la kwanza ndio kuna wasiwasi wa offside. MENGINE ni magoli halali.
ReplyDeleteMimi ni Yanga . Wakati wengine tuache ushabiki maandazi.
Mie naamini hivyo na usinilazimishe kuamin unachokiamin wewe. Mashabik maandaz nadhan ni wale wanaokubali kila jambo hata lenye makosa. Tusubiri wachambuzi wapitie magoli yenu kisha turudi tena mjadalani.
DeleteYanga mavi labda
Deletempira siyo imani boya weweee
DeleteKama siyo imani mbona unashabikia timu yako na unaitetea hata kwa ujinga? Mbwa kasoro manyonya wewe
DeleteBoya ni wewe usiyejitambua. Hujui hata kuwa ba ushabiki wa timu fulani ni imani hiyo? Ondoa ujuha wako hapa
DeleteHaya utopolo futeni nayo matatu.Simba 4 Coast 0
ReplyDeletePolice Tanzania Leo wana jambo lao
ReplyDelete