Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoingia kambini Januari Mosi,2021 kwa ajili ya mashindano ya Chan 2021 na mechi mbili za kirafiki hiki hapa:-
Aishi Manula wa Simba
Juma Kaseja wa KMC
Dan Mgore wa Biashara United
Abdutwalib Mshery wa Mtibwa Sugar
Shomari Kapombe wa Simba
Israel Mwenda wa KMC
Edward Manyama wa Namungo
Yassin Mustapha wa Yanga
Bakari Mwamnyeto wa Yanga
Agrey Morris wa Azam FC
Erasto Nyoni wa Simba
Carlos Protos wa Namungo
Said Ndemla wa Simba
Baraka Majogoro wa Mtibwa Sugar
Yusuph Mhilu wa Kagera Sugar
Ayoub Lyanga wa Azam
Feisal Salum wa Yanga
Rajab Athuman wa Gwambina
Ditram Nchimbi wa Yanga
John Bocco ni Simba
Deus Kaseke yeye Yanga
Lucas Kikoti wa Namungo
Farid Mussa wa Yanga
Adam Adam wa JKT Tanzania
Dickson Job wa Mtibwa Sugar
Abdulrazack Hamza wa Mbeya City U 20
Khelfinnie Salum wa U 20 Azam FC
Samwel Jackson wa U 20 Ihefu
Omari Omari wa u 17
Paschal Gaundence wa U 20 Azam FC
Mimi siyo kocha,lakini kutojumuishwa kwenye kikosi kwa Metacha mnata na Mohamed Hussein naona kuna tatizo
ReplyDeleteMetacha Mnata,Mohamed Hussen na Jonas Mkude mbona sijawaona pia mudathir YAHAYA? Ayoub Lyanga ana kiwango gan kuwazid pia akina DAVID LUHENDE,HASSAN DILUNGA na SURE BOY?
ReplyDeleteNidhamu, hali ya kujituma, kupokea maelekezo ya Kocha, na utimamu wa tabia ni moja ya vigezo mficho vya uchaguzi wa jeshi la ushindi.
DeleteMetacha out unamuita Kaseja kweli.....
ReplyDeleteMohamed Hussein out
Hivi Majogoro kweli yaaani......
Naona mtu fulani alikunywa pombe kuzidi kiasi
ReplyDeleteKaseja?
ReplyDeleteMkude je?
DeleteWapi mohammed hussein na metacha hii ni ni zaidi ya pombe aise hata kama sisi si makocha hapa hapana
ReplyDeletetutaona huko cameroon
ReplyDelete