December 30, 2020


NYOTA watano wa Klabu ya Simba wanatajwa kuwekwa kwenye mpango wa kutolewa kwa mkopo ili wakapate changamoto mpya.

Hivi karibuni Mtendaji wa Simba,  Barbara Gonzalez aliweka wazi kwamba wapo nyota ambao watatolewa kwa mkopo ndani ya Simba.

Nyota wanaotajwa kuwa kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo ni pamoja na kiungo Ibrahim Ajibu ambaye hana nafasi kikosi cha kwanza chini ya Sven Vandenbroeck.

Miraji Athuman pia anatajwa kuwekwa kwenye mpango huo ili wakapate changamoto mpya.

Kened Juma, Ibrahim Ame ambao ni mabeki nao wamewekwa kwenye mpango wa kutolewa kwa mkopo.

Mshambuliaji namba nne wa Simba, chaguo la Sven kwenye usajili kwenye Charles Ilanfya kutoka KMC yeye mapema tu aliomba kuondolewa kwa mkopo kwa kuwa amecheza dakika 62 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ilikuwa mbele ya Tanzania Prisons. 

3 COMMENTS:

  1. ngoja tuone kama kweli au hisia zako

    ReplyDelete
  2. wawatoe zen wamchukue nani sasa?

    ReplyDelete
  3. TUNATOA MIKOPO YA HARAKA YA € 15000 Hadi $ 72000 KIASI CHOCHOTE CHA UCHAGUZI WAKO NA 2-4
    SAA YA HUDUMA YA MAFANIKIO YA KUFANIKIWA NA 2% VIWANGO VYA RIBA KWA BIASHARA
    NA BINAFSI
    MADHUMUNI SASA TUMIA NA UJUMBE WA BARUA KWA:
    philipmorganloanservice00@gmail.com

    JAZA NA URUDI

    Jina:
    Kiasi cha Mkopo:
    Muda:
    Jinsia:
    Nchi:
    Lengo:
    Namba ya simu ya mkononi:

    JIBU LAKO NI LAZIMA MARA MOJA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic