December 30, 2020


 UONGOZI wa Yanga umewapa pongezi wachezaji wake sita ambao wameitwa kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya Chan, 2021.


Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wachezaji walioitwa Stars wanastahili pongezi na wa kazi ya kufanya kwa ajili ya kutimiza majukumu ya Tanzania. 


Nyota hao walioitwa ni pamoja na Deus Kaseke, Mustapha Yassin , Ditram Nchimbi, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum  na Farid Mussa.

5 COMMENTS:

  1. Anayeingia moja kwa moja kikosini hapo ni Mwanyeto na Feisal wengine wanaenda kufanya mazoezi tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na hiyo nafasi ya mustapha nani mwingine wa kuingia kwenye kikosi cha kwanza zaidi yake?

      Delete
  2. Kwani kuna shida yoyote kwa hao wengine waliochaguliwa mbali na Mwamunyeto na Feisali?

    ReplyDelete
  3. Nijambo la kher kuwaopongeza kwakua wanenda kuiwakilisha nchi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic