January 7, 2021


UONGOZI wa Simba umetangaza rasmileo Januari 7 kuachana na Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo.

Hii ikiwa ni siku moja baada ya Simba kutinga hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 6.

Simba ilipoteza mchezo wa kwanza ugenini, Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe kwa kufungwa bao 1-0 ila ushindi walioupata jana Uwanja wa Mkapa wa mabao 4-0 umewafanya wasonge mbele kwa jumla ya idadi ya mabao 4-1.

Sven alipokea mikoba ya Patrick Aussems ambaye alifutwa kazi kwa kushindwa kuifikisha timu hiyo hatua ya makundi baada ya kutolewa na UD Songo kwenye hatua ya awali.

Taarifa rasmi iliyotolewa na Simba imeeleza namna hii:-


23 COMMENTS:

  1. Binafsi nimeumizwa sana na taarifa hii... Oppsss most painful moment...shiit

    ReplyDelete
  2. Usiumie huwezi kujua yaliomo ndani pengine ungejua pia ungejuta kwa upande mwengine sio upande wa kocha simba cv ni km tanuri hujui mkate upi mkubwa upi mdogo ukitoa unajua yote imeiva unakula vuta subra sikiliza na fatilia usitoe maamuzi ukiwa na hasira na usiweke ahadi ukiwa na furaha kuna kitu kipo mm na ww hatujui ila ukweli utajulikana tanzania sisi vifua vyetu vya chura maji ya ukoko ukimwaga tunajua mvua tunakoroma tuvute subra

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na umeongea kweli tupu, na inawezekana kaomba kuondoka

      Delete
  3. It was just matter of time, huyu Coach alikua anasubiria kufukuzwa muda tu, lkn sababu ilikua inakosekana, kwakifupi hiyo ndio Africa

    ReplyDelete
  4. Sven alikuwa anaboronga Sana kupanga kikosi japo wachezaji muda wote walikuwa wakimbeba ...angalia mechi nyingi hata akiona mtu yupo lose sub inaanzia lala salama ...wazungu wanajifanya wajuaji Sana ...Sven go go ...no matter umetufikisha makundi naamini tukipata kocha Bora Simba itatinga nusu fainali ligi ya mabigwa Africa ...Simba nguvu moja

    ReplyDelete
  5. Acha kupotosha..Simba imeachana na Sven baada ya yeye mwenyewe kutaka kuwa karibu na familia yake..Soma waraka watamfukuza kazi halafu watake aendelee kuwa mwana familia
    Usishaona kocha anafukuzwa baada ya kufanya vizuri...si ni kujiletea lana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni mambo ya PAKA hayo. Amekataa kumtumikia Shetani kisa Fedha.

      Delete
    2. kwani kuna paka pale kafunga goli? ni akili finyu kufikiria paka anahusika na ushindi wa Simba..Ni paka akiyesababisha Luis kugonga mwamba mara mbili..au platinum kukosa goli la wazi...Na kwa nini paka aonekane mpira ndiyo umeisha.

      Delete
    3. ndiyo maana Eymael alisema shabiki Yanga ni mbumbumbu hawana akili na akili zao sawa na nyani...wanaishia kubweka baaa baaa...Wewe na akili zako kama paka anaweza leta bil 1.3 basi na nyie tafuteni paka...acheni kubweka bweka hapa...na hakuna kombe mtachukua..Utopolo wataruka ndege kwa hisani ya Simba kama mwaka jana mlivyoshiriki kwa hisani ya mnyama

      Delete
  6. Hakukubaliana na namna jinsi klabu inavyoendeshwa kwa nguvu ya mapaka,hakuona sababu ya kushirikishwa mapaka kwenye maamuzi yake ya kiufundi

    ReplyDelete
  7. Kwa simba hii hata bila kocha tunasonga mbele

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa Simba hii ata bila kocha Paka wanatosha.

      Delete
  8. na ni paka aliwafunga utopolo 4-0 .akili zenu zimeishia hapo

    Mwandishi akili yako muda wote unafikiria rekodi...Badilisha title andika Sven ameweka rekodi ya kuachia ngazi mwenyewe.

    ReplyDelete
  9. na sare zilishaanza wafuata utopolo..leo mnatoa sare au kufungwa

    ReplyDelete
  10. Kocha Hana mbinu ni juhudi tuu za wachezaji sio kuangalia rekodi tuangalie na ufundi uwanjani.

    ReplyDelete
  11. Kwenye uongozi wa Simba Kuna shida Ila the situation of head coach to leave Simba sport club it was the matter of time Simba nguvu moja

    ReplyDelete
  12. Kocha alikuwa mzuri naisi kutakuwa na sababu za nje ya uwanja ndo zimepelekea kuondoka simba lakin ni kocha mzuri na tunamshukuru kwa mchango wote aliotoa kwenye club ya simba

    ReplyDelete
  13. Hakuna shida. Matola ambaye yeye binafsi ndie alikuwa akimshauri Sven kwa mambo mengi tete, yupo na altaliongoza jahazi bila ya kuyumba Mpaka alitie bandarini kwa amani na mafanikio

    ReplyDelete
  14. mapaka fc mnafukuza kocha bila kufikiria

    ReplyDelete
  15. Wa kweni mlipomfukuza alikosa nini? Mechi zote ameshinda,lakini mmeleta mwingine, ina maana kuna mapungufu, pia kwa mtani kuna mapungufu wameyaona, msibweke sana kwenye ngoma ya mwenzenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. lakini mtani huko ni kukosa shukrani, maana kocha kawapeleka makundi then mnamntoa bila sababu, nakubaliana na ww, hivi vilabu simba na yanga huwa kuna matatizo sana ya kiuongozi.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic