January 6, 2021

 




FT: Simba 4-0 FC Platinum 
Dakika 90 za mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika unakamilika Uwanja wa Mkapa kwa Simba kushinda mabao 4-0.


Ushindi huo unaifanya Simba kutinga hatua ya makundi Afrika kwenye Ligi ya Mabinngwa Afrika.

Dakika ya 90+4 Goal Chama penalti

Simba wanapata penalti imefungwa na Chama
Goal Bocco dk 90

Dakika ya 86 Bocco anachezewa faulo 
Dakika ya 85 Kagere anatoka anaingia Bocco
Dakika ya 84 FC Platinum wanafanya mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 77 Mugalu anatoka anaingia Kagere
Dakika ya 67 Chama anapiga faulo inaokolewa 
Dakika ya 61 Kapombe goal
Dakika ya 60 Ndemla anatoka anaingia Ibrahim Ame
Dakika ya 59 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 mwamuzi anapeta
Dakika ya 58 Onyango anafanya kosa ndani ya 18 mchezaji wa FC Platinum anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 54 FC Platinum wanapoga kona inaanuliwa
Dakika ya 53 FC Platinum wanapata kona ya pili
Dakika ya 52 Kawondera anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 50 Luis anapiga faulo inagonga mwamba
Dakika ya 48 Luis anachezewa faulo nje kidogo ya 18
KIPINDI cha pili, Uwanja wa Mkapa


MAPUMZIKO Uwanja wa Mkapa

UWANJA wa Mkapa

Kipindi cha kwanza

Ligi ya Mabingwa Afrika 


Zinaongezwa dakika 5

Dakika ya 45 Kapombe anachezewa faulo

Simba 1-0 FC Platinum

Dakika ya 39 Nyoni Gooal 

Dakika ya 32 Wachezaji wa FC Platinum wanaonekana kugombea maamuzi ya penalti

Dakika ya 31 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 Simba wanapata penalti

Dakika ya 30 Luis anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 30 Rahaman anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Chama

Dakika ya 27 Luis anapiga kona inaokolewa na Tizayi anaanguka chini

Dakika 26 Luis anapiga kona ya Kwanza inaokolewa

Dakika ya 24 Chama anachezewa faulo nje ya 18 wanaanzisha mashambulizi 

Dakika ya 23 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 mwamuzi anapeta

Dakika ya 21 Manula anaokoa faulo ya FC Platinum 

Dakika ya 19 Mugalu anaotea

Dakika ya 18 Percent Chikwende anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 17 FC Platinum wameweka ukuta wa kutosha unaipa tabu Simba kupenya

Dakika ya 15 Nyoni anapeleka kwa Chama,Kapombe,Ndemla,Nyoni

Dakika ya 12 FC Platinum wanapata kona

Dakika ya 11 Chama anapiga faulo kwa Ndemla anapiga shuti linatajwa na kipa  Tizayi

Dakika ya 10 FC Platinum wanaonekana wakipoteza muda kwa kukaa chini kimtindo

Dakika ya 9 Chikwende anatafuta njia anazuiwa na Onyango 

Dakika ya 8 lips Tizayi anaanza 

Dakika ya 6 Luis na kipa wa FC Platinum wanapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 5 Kapombe anacheza faulo

Dakika ya 4 Percent Chikwende anacheza faulo 


Dakika ya 2 Bwalya anapokwa mpira

7 COMMENTS:

  1. Mungu tujalie tuvuke kwenda makundi

    ReplyDelete
  2. Hongera Mnyama. Ni wewe tu hakuna mwengine asemae ni yeye ajidanganya. Fikeni mbali na ubingwa kwa mara nyengine tena ni wetu sie tuitwao mikia. Simba ndie anaestahaki kila kituuuu

    ReplyDelete
  3. Safi sana kwa ushindi usio na mashaka. Kazi nzuri imefanyika

    ReplyDelete
  4. Tumememuommba na daima anatukubaliaia kwasababu hatuna hasada wala chuki kwa yeyote. Ametupa na ataendelea kutupa

    ReplyDelete
  5. Tumemuomba Mungu na ametusikia, WIDA imefanikiwa na sasa 4G ndo habari ya mjini.... Ahsante Mungu

    ReplyDelete
  6. Mwenyezimungu amenisikia duwa yangu bado tupambane anae kuja nae ale kichapo tena tusonge mbele inshaalah

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic