FT : AS Vita 0-1 Simba
Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi
Uwanja wa Des Martyrs
Mapumziko
Inaongezwa dakika 1
Dakika ya 45 Mugalu anachezewa faulo
Dakika ya 41 Bwalya anachezewa faulo na Tshishimbi
Dakika ya 41 Manula anaokoa hatari ya faulo iliyopigwa na AS Vita
Dakika ya 32, Lwanga anaokoa hatari baada ya Juma kupenya ngome ya Simba na kuingia ndani ya 18
Dakika ya 27 Lwanga anachezewa faulo
Dakika ya 25 Lwanga anarejea uwanjani
Dakika ya 24 Lwanga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 23 AS Vita wanapata kona inaokolewa na Manula
Dakika ya 20 Luis anacheza faulo akiwa eneo la AS Vita
Dakika ya 16 Simba wanapata kona ya kwanza
Dakika ya 14 Lwanga anachezewa faulo na Tshishimbi
Dakika ya 13, Manula anatoka nje ya lango kuokoa anakosa mpira AS Vita wanakosa nafasi ya kufunga
Dakika 11 Tshishimbi anapokonya mpira
Dakika ya 10 Manula ana
okoa hatari baada ya mabeki kujuchanganya ndani ya 18
Dakika ya 8 AS Vita wanapaisha faulo
Dakika ya 7 Lwanga anamchezea faulo mayele nje kidogo ya 18
Dakika ya 6 Bwalya anapoteza mpira
Dakika ya 4 Tshabalala anamchezea faulo nahodha wa AS Vita Juma Shaban
Dakika ya 2 Luis Miquissone anachezewa faulo
AS Vita 0-0 Simba
Ee MUNGU uwe nasi, tupate matokeo chanya
ReplyDeleteAmen, SIMBA NGUVU MOJA
DeleteWameshaisha hao.
ReplyDeleteNa kipind cha pili simba paki basi tuje tuwaue kwa mmkapa
The time will tell,simba baba lao.huu ndio mpira jirani elewa kwamba huu ndio mpira na hii ndio simba, mchana mlikua mnaongea sana mpaka mnajisahau sasa jifunzeni jambo hapa, mkiwa mnaropoka muwe na stara kuhifadhi maneno
ReplyDeleteHawajui kwamba mnyama amejipanga kisawasawa. Hongera zake CEO mwanamama wa shoka
DeleteDuwa za adui Mungu kazikataa
ReplyDeleteYakowapi matamanio ya gongowazi. Sasa nawangojee mambo yatavoanza kuwageukia. Hawatopata usingizi. Hawajui huyu Mnyama wa 2021
ReplyDeletendiyo tena tusikie kelele za wale Eyimael aliita mbumbumbu kazi kupiga kelele utadhani mbwa na nyani ...baaa baaaa baaa
ReplyDeletematano matano nadoo ndiyo ulikuwa wimbo. tafuteni mwingine..mtakereka sana