UONGOZI wa Yanga umesema kuwa haukuwa na mpango wa kumsajili kiungo mwenye kasi ndani ya uwanja, mjanjamjanja ndani ya uwanja Luis Miquissone.
Awali ilielezwa kuwa Yanga walikuwa kwenye hesabu za kuisaka saini ya nyota huyo ila walizidiwa ujanja na watani zao wa jadi zama zile alipokuwa anacheza ndani ya timu ya UD Songo.
Kwa sasa yupo Simba ambayo inapambania kutetea taji la Ligi Kuu Bara na kesho Februari 4 itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Dodoma Jiji, mchezo wa ligi.
Mjumbe wa Kamati ya Usajili ndani ya timu ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa timu hiyo inayoongoza ligi kwa sasa amesema kuwa hawakuwa na mpango na Luis.
"Simba walikuwa wa kwanza kumfuata Luis ila sisi hatukuwa na mpango wa kusmajili mchezaji huyo jambo ambalo limefanya awe pale ambapo alikuwa anahitajika.
"Ni tetesi ambazo zilikuwa zinaeleza na kulipa nguvu suala hilo hivyo hakuna jambo ambalo lilikuwa linaendelea juu yetu," amesema.
Luis kwa msimu wa 2020/21 ndani ya Ligi Kuu Bara ni namba mbili wa kutengeneza pasi za mwisho akiwa nazo saba na ametupia bao moja.
Namba moja ni Clatous Chama ambaye ametoa pasi nane na amefunga mabao sita kibindoni.
Sasa Mjumbe wa GSM anaposema Simba walikuwa wa kwanza kumfuata Luis aliyefuata ni nani?
ReplyDeletehuyo mjumbe kwa jweli ni mjumbe
ReplyDeleteYanga wamtie katika hesabu zao kwakuwa ndio wana hela za kuwashinda wengine, basi kama ni hivo kwanza wamlipe Tambwe jasho lake badala ya kushitakiwa FIFA na kupigwa marufuku kwa misimu mitatu kusajili wachezaji wapya hata dunia nzima wakaijua aibu hii
ReplyDeleteNASIKIA HII NDIYO TIMU AMBAYO ETI INA MLIPIAKAZE MILIONI 8 KODI YA NYUMBA, NA MSHAHARA WA DOLA 10,000/-
DeleteRUDI DARASANI KAJIFUNZE UPYA HESABU.....SIO NANE TU....NI 30 KWA MWEZI
DeleteMbali na kunyimwa usajili kwa misimu mitatu, pia watanyanganywa pointi katika mechi za ligi Mpaka kushuka daraja Fifa siyo ya kufanyiwa ubabe
ReplyDeleteHEEEH HEEH HEEH.....MTASUBIRI SANA HILO KUTOKEA.....PAMBANENI NA HALI ZENU...DARAJA HATUSHUKI,USAJILI TUTAFANYA.
DeleteKenge mpaka atpke damu ndio anajua kaumia Utopolo walifikiri mikwara ya TFF.
ReplyDeleteYAANI MARUNGU KAMA HAYA YA FIFA WANAOWEZA KUTOBOA ni akina madrid na barca tu, tena sio kwa kukimbia dhabu bali wanaomba kipigo kisogee mbele kidogo wajiandae na namna ya kuvumilia maumivu ya bakora za makalioni
ReplyDeleteFifa has ordered Football Kenya Federation Premier League side AFC Leopards to pay former midfielder Vincent Habamahoro Ksh1.7 million.
ReplyDeleteThe world governing body has slapped the local heavyweights with fines following a contractual dispute that involved them and the Rwandan midfielder.
Habamahoro is among the stars that left Ingwe in December 2019 following a reported run of four months without salaries. Soter Kayumba, head coach Casa Mbungo – who is now at Bandari – Ismail Diarra and Tresor Ndikumana were the others who left AFC Leopards in that period of financial turmoil.
"The respondent [AFC Leopards] shall provide evidence of payment of the due amount to Fifa,” a statement as carried out by Nation Sports read.
Article continues below
If the local heavyweights fail to pay the midfielder – who joined Rwandan top side Kiyovu SC thereafter – within the set time frame then they will be barred from engaging in transfer activities in three seasons.
“In the event, the amounts due plus interest are not paid within 45 days as from the notification of the claimant by the relevant details to the respondent, the respondent shall be banned from registering new players, either nationally or internationally up until the new amounts are paid and for the maximum duration of three entire and consecutive transfer windows,” the statement added.
The fines on AFC Leopards come after Fifa had ordered Gor Mahia to pay Tanzanian winger Dickson Ambundo KSh1.3 million for a breach of contract.
KCB also had to deal with Fifa after they were ordered to pay Gabriel Mugabo KSh1.8 million.
The Rwandan star signed for the Bankers in 2018 from Rayon Sports and was among the players who were released in 2020 as the club claimed they were let go owing to a restructuring policy before he escalated the matter with Fifa.
Kweli wachezaji wa matopolo watakuja na morali za viwanjani ambapo umefika hadi kupata rungu la Fifa kuwa ni wana deni sugu kwani hata nyota wao watafikiria yaliyomkuta Tambwe leo tatawakota wao kisho
ReplyDelete