February 3, 2021


UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Februari 3 umethibitisha kupokea barua kutoka FIFA ikiwa na agizo la kuitaka kulipa stahiki zake na imebeba pia maelekezo ya kuifungia Klabu ya Yanga ikiwa itashidwa kulipa stahiki hizo.

Habari zimekuwa zikienea kwamba Yanga imefungiwa misimu mitatu mfululizo kufanya usajili kutokana na kutolipa stahiki za nyota huyo kiasi kinachotajwa kuwa ni milioni 41. Ufafanuzi kutoka Yanga umeeleza kuwa hatia hiyo itafikia ikiwa watashindwa kulipa deni hilo kwa muda.
Taarifa kutoka Yanga imeeleza namna hii:-





 

10 COMMENTS:

  1. Kenge mpaka atoke damu ndio anajua ameumia.Kwanini msilipe tokea 2019.Eti CAS danganya toto.

    ReplyDelete
  2. Kuna harufu ya upotoshaji, adhabu imeshatoka hata mkilipa kufungiwa kuko pale pale. Hakuna cha CAS wala nini mlikuwa mmelipa umuhimu mdogo hili suala

    ReplyDelete
  3. Tayari wameshaanza kuikana hii taarifa, sijui tushike lipi.

    ReplyDelete
  4. Haiwezekani, tunaonewa tu. Tutaipeleka FIFA kule FIFA

    ReplyDelete
  5. Siku hizi kuna utitiri wa wanaojiita wachambuzi wa soka...kila siku kuna "vibaraza na vijiwe" vya kuendeleza umbea umbea na udaku wa soka la bongo...yani bila udaku na habari hasi chombo cha habari kitakosa wafuasi matokeo yake ndiyo haya....kila habari hasi inavuta hisia na kuwa stori inayopewa kipaumbele na kuvuta na kukaribisha mijadala isiyokwisha.....kuna haja ya kujifunza namna ya kukabiliana na hawa wachambuzi na wanahabari wanaopendelea udaku na umbea na kuzua mijadala katika vijiwe....isipodhibitiwa hii mijadala italeta mpasuko katika ujenzi wa image na brandi ya vilabu zetu katika zama hizi za utandawazi..

    ReplyDelete
  6. Si haba mara hii hawajakanusha kuwa wana deni kama ilivo ada yao na suala hapa ni kwasababu gani waliobaki kimya toka wakati huo bila ya kumlipa, jee dhamiri ilikuwa atanyamza kimya, atasahau, hamna hela na huku munawataka nyota wa Simba au ndio hamuogopi kitu. Wamekiri kuwa wana deni lakini hawajatoa tarehe ya kumlipa. Ikiwa mambo ni hayo vipi mtafanikiwa kuwashawishi nyota wa Mnyama kuuwacha pepo yao?

    ReplyDelete
  7. Fifa has ordered Football Kenya Federation Premier League side AFC Leopards to pay former midfielder Vincent Habamahoro Ksh1.7 million.

    The world governing body has slapped the local heavyweights with fines following a contractual dispute that involved them and the Rwandan midfielder.

    Habamahoro is among the stars that left Ingwe in December 2019 following a reported run of four months without salaries. Soter Kayumba, head coach Casa Mbungo – who is now at Bandari – Ismail Diarra and Tresor Ndikumana were the others who left AFC Leopards in that period of financial turmoil.

    "The respondent [AFC Leopards] shall provide evidence of payment of the due amount to Fifa,” a statement as carried out by Nation Sports read.

    Article continues below

    If the local heavyweights fail to pay the midfielder – who joined Rwandan top side Kiyovu SC thereafter – within the set time frame then they will be barred from engaging in transfer activities in three seasons.

    “In the event, the amounts due plus interest are not paid within 45 days as from the notification of the claimant by the relevant details to the respondent, the respondent shall be banned from registering new players, either nationally or internationally up until the new amounts are paid and for the maximum duration of three entire and consecutive transfer windows,” the statement added.

    The fines on AFC Leopards come after Fifa had ordered Gor Mahia to pay Tanzanian winger Dickson Ambundo KSh1.3 million for a breach of contract.

    KCB also had to deal with Fifa after they were ordered to pay Gabriel Mugabo KSh1.8 million.


    The Rwandan star signed for the Bankers in 2018 from Rayon Sports and was among the players who were released in 2020 as the club claimed they were let go owing to a restructuring policy before he escalated the matter with Fifa.

    ReplyDelete
  8. Taarifa imetolewa Mwezi wa pili ila hiyo barua iliandikwa January sasa hapo sjaelew

    ReplyDelete
  9. Na ndio mana Saprong wanamtafutia mnunuzi eti kwa mabilioni wapate hela ya kulipia madeni yao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sarpong siyo mchezaji wao kwani baada ya kuwasajiri sadio na fiston , wamefikisha wachezaji 11 wa kigeni na walikuwa tayari na kuachana na Sarpong

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic