VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanavutiwa kasi taratibu na mabingwa watetezi Simba ambapo kwenye msimamo wametofautiana pointi mbili, Simba anazo 55 na Yanga ana pointi 57.
Mwadui FC mambo ni magumu hebu cheki msimamo namna hii ikiwa ni mzunguko wa pili
Katika mechi zijazo. inaonesha Mnyama atacheza mara mbili kabla ya yanga kucheza na ikiwa Simba itashinda zote mbili ndio Yanga kwaheri ya kuonana hawatawakuta tena Simba njia iliyopita
ReplyDelete