BAADA ya kumalizana na Mtibwa Sugar, mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-1 kikosi cha Azam FC leo kimeanza safari ya kuwafuata JKT Tanzania, Dodoma.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Ijumaa, Aprili 16.
Hawa hapa wachezaji waliopo Kwenye msafara:-
1.Wilbol Maseke
2.Benedict Haule
3.Mathias Kigonya
4.Braison Rafael
5.Prince Dube
6.Nico Wadada
7.Abdul Haji Omar 'Hamahama
8.Bruce Kangwa
9.Paschal Msindo
10.Mudathir Yahya
11.Aubrey Chirwa
12.Never Tigere
13.Danny Amoah
14.Abdallah Kheri Sebo
15.Ally Niyonzima
16.Idd Suleiman Nado
17.Awesu Ally Awesu
18.Ayoub Lyanga
19.Yakubu Mohamed
20.Ismail Aziz Kader
21.Agrey Morris
22.Mpiana Monzinzi
23.Emmanuel Kabelege
24.Yahya Zayd
25.Salum Abubakary 'Sure Boy'
0 COMMENTS:
Post a Comment