VIDEO: BARBARA: HAIJAWAHI KUTOKEA, DILI ALILOPEWA MTANZANIA WENGI WALIKUWA WANAHITAJI
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa mkataba ambao wameingia nao dhidi ya Kampuni ya Vunja Bei pia amesema kuwa kulikuwa na wengi ambao waliomba tenda hiyo mwisho wa siku akapewa kijana Mtanzania ambapo jambo hilo halijawahi kutokea Afrika Mashariki.
Wengi waliomba ni Club (Timu?) au mazingira Kama hayo au ni mtu ameona hapana habari za Simba mtaani mgoja niibuke
ReplyDelete