MBOTO shabiki mkubwa wa Klabu ya Yanga amesema kuwa alikuwa anamlaumu Morrison, (Bernard) kwa makosa ambayo anayafanya ila kwa sasa anatamani hata Morrison angekuwepo Mbotto amesema kuwa kuna makosa ambayo waamuzi wanayafanya kama angekuwepo Morrison angekuwa amefanya yake.
Pia ameweka wazikuwa anammisi, (kumbuka) Morrison ambaye kwa sasa yupo Simba. Ameongeza kuwa bado Yanga inahitaji kupata wachezaji kwa upande wa washambuliaji, mabeki na ishu ya ubingwa anaamini kwamba lolote linaweza kutokea.
0 COMMENTS:
Post a Comment