VIDEO: SABABU YA YANGA KUFUNGWA NA YANGA HII HAPA, UBINGWA BADO
ALLY Kamwe mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa kupoteza kwa Yanga mbele ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0 ni somo kwao huku akiweka wazi kwamba suala la ubingwa kuwa kimahesabu bado lipo wazi kusema kwamba mbio za ubingwa limeisha, huku akiweka wazi kwamba Simba wamekuwa na jitihada ndani na nje ya uwanja
Sababu ya yanga kufungwa na yanga. . Mwandishi uwe makini basi
ReplyDeleteMchambuzi nae anasema simba imejizatiti ndani na nje ya uwanja, ana maanisha nini
Leo naona ulivolowa. Kila mara nakuambia. Uandiahi was kishabiki unaharibu taaluma. Haya sasa. Yanga kufungwa na Yanga,😅😅😅
ReplyDelete