VIDEO: MGORE AFUNGUKIA KILICHOSABISHA AKAFUNGWA NA YANGA, MALENGO YAKE
KIPA namba moja wa Biashara United, Daniel Mgore ameweka wazi kwamba makosa ambayo aliyafanya kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga na kufungwa bao na Yacouba Songne ni makosa ya mawasiliano ambayo huwa yanatokea, pia amefunguka kuhusu ishu ya kupoteza muda.
0 COMMENTS:
Post a Comment