VIDEO: SIMBA TUNAHITAJI HESHIMA, TUNAONGOZA KUNDI
MIONGONI mwa mashabiki wa Simba ambaye jina lake pia anajiita Aggy Simba amesema kuwa Klabu ya Simba inapaswa kupewa heshima kwa kuwa inafanya vizuri na imetinga hatua ya robo fainali. Pia ameweka wazi kwamba inaongoza kundi A.
0 COMMENTS:
Post a Comment