VIDEO: SIMBA WATAJA KILICHOWAFANYA WAKAPOTEZA MBELE YA AL AHLY NA HESABU ZAO
BAADA ya Klabu ya Simba kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ni vinara wa kundi A na pointi zao 13 licha ya kupoteza mchezo wao wa mwisho kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly wameweka bayana kilichowaponza na hesabu zao kwa sasa
0 COMMENTS:
Post a Comment