VIDEO: KMC, HAIKUWA BAHATI YETU, ALIA NA FAULO ILIYOLETA BAO KWA YANGA
MTUPIAJI wa bao la KMC wakati wakilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Yanga Uwanja wa Mkapa David Bryson anasema kuwa haikuwa bahati yao kupata ushindi licha ya kupambana mbele ya vinara hao wa ligi
0 COMMENTS:
Post a Comment