VIDEO: YANGA YAITAKA SIMBA KWA MKAPA, YATAMBA KUSEPA NA UBINGWA
BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Gwambina kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, shabiki wa Yanga maarufu kwa jina la Utopolo amesema kuwa bado wana nafasi ya kutwaa ubingwa huku na hawana mashaka na mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa Mei 8 pia ameongeza kuwa wapinzani wao wakiwa hawana nafasi ya kutwaa ubingwa huo
Hatari sana!
ReplyDelete