April 20, 2021

 


Bado tunaendelea kuburudika na michezo kadhaa ya soka la Ulaya. Merianbet, hatukuachi nyuma. Mambo yapo hivi wiki hii;

 

Arminia Bielefeld kuwaalika Schalke 04 kunako Bundesliga jumanne hii. Tofauti ya pointi 14, inawatenganisha Bielefeld na Schalke 04 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Fuata Odds ya 1.80 kwa Bielefeld.

 

Chelsea kuchuana na Brighton Hove Albion katika dimba la Stamford Bridge. Baada ya kutinga fainali ya FA Cup, sasa kuingia Top 4 ndio jambo la msingi, Tuchel ataweza? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.65 kwa Chelsea.

 

Jumatano hii ni zamu ya Tottenham vs Southampton. Spurs anaingia kwenye mchezo huu bila Mourinho ambaye ametimuliwa na sasa Ryan Mason. Mambo yatakuaje baada ya dakika 90? Ifuate Odds ya 1.90 kwa Spurs.


Levante uso kwa uso na Sevilla kunako LaLiga Sentander. Mbio za kuwania nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo ndio zinapamba moto. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.80 kwa Sevilla.

 

Alhamisi kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka. Napoli kuvaana na Lazio. Timu zote zinaisaka tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.05 kwa Napoli.

 

Tutahitimisha wiki kwa mchezo wa Real Sociedad vs Celta Vigo. Soka lenye viwango na burudani isiyopimika, ufundi wa soka katika ubora wake. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.95 kwa Sociedad.


Jiunge sasa na Meridianbet ili uwe miongoni mwa wanafamilia ya mabingwa!

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic