msipunguze magoli...mbona Azam TV ni 0:3 wekeni na msimamo wa ligi ya wanawake
kama kaka kama dada... na leo dada zao wamebikiriwa msimu huu!!!sasa ni kutoboa toboa tu
Dah makubwaa
Utopolo Ni utopolo vichapo, kaka Yao kagongwa Jana dada naye kagongwa leo
Blog inasuasua tangu juzi kisa vichapo mnavyopata, poleni sana wekeni Habari acheni ushabik maandazi.
na namna Simba inavyochezz leo pia wanaweza pata habari za kusononesha
Inaonekana waandishi wa blog wamechanganyikiwa na vipigo ingekuwa Simba kafungwa kuna wachezaji wangepachikwa.majina kiboko ya Manula ila mechi ingezungumziwa wiki mbili ila sasa kimya
msipunguze magoli...mbona Azam TV ni 0:3
ReplyDeletewekeni na msimamo wa ligi ya wanawake
kama kaka kama dada... na leo dada zao wamebikiriwa msimu huu!!!sasa ni kutoboa toboa tu
ReplyDeleteDah makubwaa
DeleteUtopolo Ni utopolo vichapo, kaka Yao kagongwa Jana dada naye kagongwa leo
ReplyDeleteBlog inasuasua tangu juzi kisa vichapo mnavyopata, poleni sana wekeni Habari acheni ushabik maandazi.
ReplyDeletena namna Simba inavyochezz leo pia wanaweza pata habari za kusononesha
DeleteInaonekana waandishi wa blog wamechanganyikiwa na vipigo ingekuwa Simba kafungwa kuna wachezaji wangepachikwa.majina kiboko ya Manula ila mechi ingezungumziwa wiki mbili ila sasa kimya
Delete