May 30, 2021

4 COMMENTS:

  1. Simba iachane na mpango wa Okwi, hiyo tayari ni spent force. Tafuteni vijana wenye nguvu. Huko aliko anafanya nini?

    ReplyDelete
  2. Huyu bwalya wa kazi gani jamani mbona Simba nao kama hawajielewi.haya yote magarasa huyo okwi ndio kabisa hakuna kitu hapo mpira alishaumaliza Simba,angalie msije mkakosea mkaja kujilaumu baadae.

    ReplyDelete
  3. Mwakani Simba itacheza fainali klabu bingwa Afrika.hivyo ili kutimiza malengo hayo lazima ufanyike usajili wenye tija kwa maslahi ya timu na taifa Kwa ujumla.

    ReplyDelete
  4. Simba imsajili tu huyo Okwi atawafaa Mikia Fc

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic