DROO ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD.
Mbele ya vikapu alikuwepo Maalim Saleh na Hussein Sued ambao walikuwa wakichezesha droo hiyo na mambo yamekuwa namna hii:-
Simba v Dodoma Jiji
Rhino Rangers v Azam FC
Biashara United v Namungo FC
Mwadui FC v Yanga
Nusu fainali
Mshindi wa mchezo wa Simba v Dodoma v mshindi wa mchezo kati ya Rhino v Azam FC.
Mshindi wa Biashara United v Namungo v mshindi wa mchezo kati ya Mwadui FC v Yanga
Sijawahi kuona droo mbovu kama hii timu kubwa zinatenganishwa zisikutane mpaka nusu hii inadidimiza soka letu mbona fa uingereza liver anaweza kukutana na man u hata round ya pili nini shida kwetu kuzionea timu ndogo.
ReplyDeleteYaani droo ya Leo simba,azam na yanga zilikuwa poti moja zimetengwa kwamba haziwezi kukutana mambo ya ajabu.Me ninavyojua droo ilitakiwa timu zote ziwe poti moja kwamba yeyote anaweza kukutana na yeyote
ReplyDeleteTFF wanawaza hela tu na wala sio kuendeleza mpira katika uhalisia wake
ReplyDeleteWanachelewesha kipigo kwa utopolo, bahati yao. Hata kama watapenya fainali tunao tuu wakimbie tena
ReplyDeleteYanga imewekewa kati ya timu zinazoshika mkia ili washindwe wapate morali na isingie mitini mapema, lakini huko mbele jee itakuwaaje pindi ikibidi kupambana na Prince Dube au akina Kagere, Morrison, Chama, akina Mugalu na Konde Boy. Hahahaa
ReplyDeleteKama unajitambua utajuwa nani kakimbia kama kesho ulitakiwa ucheze na unasafiri mechi zako zinasogezwa tena acheni uzwazwa watu wa simba nyie ndiomunabebwa na baba yenu tff ila kanuni zitawanyoosha yanga wanafata kanuni sio kubebwa
Deletehata CAF wanafanya hivi timu kubwa zinawekwa poti moja na hii inasaidia nchi kuwakilishwa na timu bora acheni unazi bila kutumia akili
ReplyDeleteNdio kawaida ya droo zote
ReplyDeleteTimu kubwa zinawekwa poti moja kwenye kupanga magroup au timu zilizomaliza nafasi ya kwanza uelewe wewe ndo unaleta unazi hapo timu zote zipo shindano moja hakutakiwi kuwa na favour
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete