"Sote tu waja wa Mwenyezi Mungu na marejeo yetu ni kwake" Tunakuomba yarabbi umpe mja wako nguvu na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwenza wa maisha yake
Innalillah wainnaileih rajiun. Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Pole sana mwamba Chama. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia
Huu ndio mwisho wa binaadamu. Kama hukufa hukuumbika na hapana ataekwepa kifo kila kilichoumwa kitsonja umauti yeye katangulia na sisi tupo nyuma yake. Tunamuomba Mala I mema na Mungu awspe subira kwa kila aliefuwa.
"Sote tu waja wa Mwenyezi Mungu na marejeo yetu ni kwake" Tunakuomba yarabbi umpe mja wako nguvu na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwenza wa maisha yake
ReplyDeleteInnalillah wainnaileih rajiun. Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Pole sana mwamba Chama. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia
ReplyDeleteHuu ndio mwisho wa binaadamu. Kama hukufa hukuumbika na hapana ataekwepa kifo kila kilichoumwa kitsonja umauti yeye katangulia na sisi tupo nyuma yake. Tunamuomba Mala I mema na Mungu awspe subira kwa kila aliefuwa.
ReplyDelete