June 21, 2021

 




BREAKING: SASA ni rasmi Tanzania itatoa timu nne kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na CAF.

Msimu huu ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ilitinga hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Namungo ilikuwa inashiriki Kombe la Shirikisho iliishia hatua ya makundi.

 Taarifa rasmi iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania imeeleza namna hii:-


11 COMMENTS:

  1. Hongera Simba kwa kutengeneza pointi nyingi zinazoisaidia nchi kwa ujumla. Hongera pia TFF kwa kuboresha ligi na mazingira ya mpira kuchezwa

    ReplyDelete
  2. Hata sisi Yanga tumefarijika na fursa hii tuloipata watanzania. Na sisi kama mnavoona usajili na mabadiliko yunayofanya. Lengo letu na sisi ni kufanya vizuri zaidi

    ReplyDelete
  3. Utopolo igeni mfano kwa Simba acheni ushamba wakubebana kiunazili wekeni vitendo dk90

    ReplyDelete
  4. binafsi nimefurahi sana kuona soka la tz linazdi kukomaa sasa ila muhimu ni kupambana saizi yale mambo ya historia yashapitwa na mda pia marefa nao inatakiwa kuwa makini ktk hili soka la tz linakua sasa wasichagie kurudisha mambo nyuma kuna makosa mengi sana yanafanyika ila kikubwa n umakini tu ktk mchezo husika hongera sana wanasimba wote kwa kupambana mpaka kufikia hatua hiyo mmefanya soka la tz sasa linaonekana zaman haya mambo tulikuwa tunayasikia tu kwa nchi za wenze2 saizi yamefika mpaka nyumban hongereni sana

    ReplyDelete
  5. Hivi na Simba itaanzia kwenye hatua ya mwanzo au makundi?

    ReplyDelete
  6. Tunajua kwa kusikia hayo simba mnajidai sana.washaurini tff wasifanye hujuma za waziwazi wasikilize kesi zote.maana mwishowe TZ tutafutwa kwenye mashindano ya kimataifa

    ReplyDelete
  7. Kwa nini kila mechi TATIZO ni marefa na kwa nini hawabadiriki? Marefa wajue kwamba wanaumiza sana mashabiki wanapokosea

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic