June 19, 2021


 LEO Juni 19, Uwanja wa Azam Complex ilichezwa fainali ya Ligi Kuu ya Vijana U 20 na Mtibwa Sugar wameibuka Mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo. 


Ubao wa Azam Complex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 1-2 Mtibwa Sugar. 


Ni Abdulkarim Yunus dk ya 82 kwa Yanga na Omary Marungu dk 10 kwa mkwaju wa penalti na la pili lilifungwa na Richard Mwamba dk 24.

Mshindi wa pili ni Yanga huku mshindi wa tatu ni Simba ambaye alishinda mbele ya Azam FC katika mchezo wa mwanzo kwa penalti 4-1 baada ya dakika 90 za awali ubao kusoma Azam FC 1-1 Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic