June 19, 2021

NAHODHA wa Mwadui FC, Mussa Mbissa amesema kuwa wamejipanga kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 

Mbissa ameongeza kuwa kesho wataingia kwenye mchezo huo kama fainali licha ya kuwa kwenye mstari wa kushuka daraja kwa msimu wa 2020/21. 

Ameongeza kuwa kosa ambalo alifanya na kufungwa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga ameshasahau na ameandaliwa kisaikolojia. 

 

3 COMMENTS:

  1. Hiyu lofa kesho nina hakika anatoa tena zawadi kwa utopolo. Kama aliweza kuuza mechi mbele ya washabiki wake shinyanga, atashindwaje kuiuza kesho hapa mbele ya wananchi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo lako ni kuwa na simu ya kupewa na shemeji yako...ndio maana unacomment ulojo tu.....auze mechi kwa sababu gani na why kwa yangu....... Tz prison hawakuwauzia mechi Kama kule luangwa ety

      Delete
  2. Wewe uliona lile goli alilofungwa kule shinyanga au unacomment tuu? Halafu andika vizuri basi, Ruangwa sio Luangwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic