June 2, 2021

6 COMMENTS:

  1. Kila la kheri, maana Simba hatumiki

    ReplyDelete
  2. Si kweli huyo alishakuwa kiroba

    ReplyDelete
  3. Kama Kweli Yanga wakimsajili Ajibu nitawaona viongozi wake ni wapuuzi Na hawafai kupewa majukumu ya usajili kwasababu huwezi kumsajili mchezaji ambae kwenye timu aliyotoka alikuwa hapati nafasi ya kucheza hata timu ya taiga kocha hawezi kumuita achezee kwa sababu kiwango chake ni kidogo lazima Hilo tukubali sio tufanye mazoea Ajibu Hana mpira wowote wa kusajiliwa Yanga watafute mchezaji mwingine

    ReplyDelete
  4. YANGA NI MIONGONI MWA CLUB ZINAZOTUMIA MUDA MWINGI NA NGUVU NYINGI SANA KUSHAWISHI MASHABIKI ZAO WAAMIN KITU AMA JAMBO AMBALO KIUHALISIA HALIPO,NA DHAMIRA KUU YAKUFANYA HIVI NI KWAMBA UKWELI WANAUFAHAMU KATIKA MAMBO MATATU 1;YANGA NI KLABU ILIYOSHUKA KIWANGO CHAKE KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI NA KUTHIBITISHA HILO HUU NI MSIMU WA NNE AU TANO SIMBA WANAENDELEA KUBEBA UBINGWA LIGI KUU,2;WAMEJITAMBUA KWAMBA HATA WAFANYE NINI HAWAWEZI KAMWE KUA SAWA NA SIMBA HIVYO WANATUMIA MBINU MBADALA KUWAHADAA MASHABIKI,MFANO MATUMIZI YA MEDIA KAMA GAZETI,REDIO BLOGS SOCIAL NETS NA TV,3;KESI YA BM3 HAIPO CAS TAS UKITAKA KUAMIN INGIA WEBSITE YA CAS THEN TAFUTA DATABASE SITE AMBAYO INAONYESHA KESI ZOTE ZA MIAKA YOTE NA KAMWE HUTAONA KESI YA BM3 NA JIULIZE KWANINI SIMBA INAPOELEKEA KUTAWAZWA KUA BINGWA NDIO MNAANZA KELELE,KWANINI TANGU MWANZO MLIKUA MMENYAMAZA?HII NI ISHARA KWAMBA YANGA MASHABIKI WAKE HAWAJIELEWI NA WANADANGANYWA SANA,MNGEHOJI KUHUSU MUANGOLA NA SIO BM3 ACHENI KUPOTEZEWA MUDA NA KUZUGWA AKILI.,4;USAJILI WA WACHEZAJI AMBAO TAYARI NI MAGARASA MFANO SAIDO,FISTON,SAPPONG,CALINHO,YIKPE NA WENGINE WENGI SANA.KWAKUHITIMISHA YANGA ITAKUJA KUPATA ANGUKO LAKUDUMU MUDA SIO MREFU NA MKIFANYA MCHEZO HATA NAFASI YA PILI MNAWEZA MSIIPATE MKACHEZO SHIRIKISHO NA SIO KLABU BINGWA AFRIKA.

    ReplyDelete
  5. YANGA HAWANA HELA, NA HAWANA NAMNA YA KUFANYA AJIBU AMEKUMBWA NA UPINZANI KATIKA NAFASI YAKE, AJIBU ALIKUWA ANACHEZA MPIRA WA KITOTO WAKATI WATU WANAHITAJI KAZI KAZI TU. UNADHANI KOCHA GANI ANAYETAKA MATOKEO BORA ATAMUACAHA AFANYE UZEMBE KILA WAKATI? JIULIZE KWANINI KAHATA AMEISHIA BENCHI MSIMU HUU? USHINDANI NI MKUBWA NA HAKUNA NAMNA LAZIMA IWE HIVYO, ANGEENDA KUCHEZA HATA AZAM FC, YANGA PALE NI MAJANGA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic