KIPA namba moja wa Mwadui FC, Mussa Mbissa amesema kuwa maneno kuhusu mabao aliyofungwa hajapenda ikiwa ni pamoja na kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Kambarage ambapo alifungwa na Deus Kaseke.
Amesema kuwa alimsoma Fiston namna alivyokaa na kuweza kuokoa penalti hiyo.
Huyu hana jipya, alishajiharibia kwa kuendekeza ushabiki na hongo za hapa na pale
ReplyDelete