MZEE wa utopolo amesema kuwa mchezo wa Jumamosi, hana mashaka nao kwa kuwa anajua kwamba shamba ni la bwana kheri mbuzi ni wa bwana kheri. Ameweka wazi kwamba hana mashaka na kukutana na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara.
Pia aezungumzia kuhusu mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho ambao ni dhidi ya Biashara United, wanajiita wanajeshi wa mpakani.
Wasemaji wa yanga kazini
ReplyDeletekaribia Yanga mzima ni kutaka kukutana manara
ReplyDelete