June 1, 2021

3 COMMENTS:

  1. Uongozi wa Yanga na wapambe wao wanaleta hoja ya Morrison ili kuziba vundo la Carinho. Morrison kacheza Caf champion league wenye mpira wao Africa leo Yanga wadanganyana eti kesi ya Morrison umerudi tena upya? Hapana shaka ni mchecheto kuelekea tarehe 3/7.

    ReplyDelete
  2. Scape(goat) ama mbuzi wa kafara. Morrison amekuwa mbuzi wa kafara ndani ya uongozi wa Yanga.Kila maji yanapozidi unga Kwenye uendeshaji wa hovyo ndani ya Yanga basi njia rahisi ya wao kujificha ni kwenye kichaka cha kesi ya Morrison. Karinyo kavunja mkataba ndani ya Yanga.Lamine Moro kasusa kuichezea Yanga. Mukoko analazimisha kutaka kuondoka ndani ya Yanga. Tusila anasingizia kuumwa lakini ukweli ni kwamba hataki kucheza tena Yanga. Metacha Mnata kawa mlevi chakari sababu za stress nyingi anazokumbana nazo ndani ya Yanga. Sarpong ndio hivyo tena. Saido Ntabazongiza nae anaomba kuvunja Mkataba wake ndani ya Yanga. Inasemekana Azam wapo karibu nae kutengeneza pacha na Dube kuelekea kimataifa. Fiston Abdurazak ameshajiengua zamani Sana ndani ya Yanga. Makocha karibu watano ndani ya msimu mmoja wa ligi. Sasa katika hali hii Kama Yanga atachukua ubingwa wa ligi kuu basi ligi yetu itakuwa sio ligi ya mpira Bali ni ligi ya kutafuta nani bingwa zaidi kwenye uchawi.

    ReplyDelete
  3. Yanga kila wskijengwa, wao wenyewe wanekuwa wakijibomowa kwa mikono yao na jambo la kustaajibisha ni Hakuna hata kiongozi has a wale wanaomimina mabilioni yao angalau kuwanasihi kutokana na ovyo zinazoivuruga timu kubwa hii iliyokuwa na tsrehe na heshima kubwa Sana hata kufika Hali iliyopo hivi Sasa. Ni jambo LA kusikitisha na kutia unyonge. Ikowaoi Sasa Yanga tuliyokuwa tunaijuwa na kujulikana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic