June 1, 2021

5 COMMENTS:

  1. Malalamiko FC aka utopolo aka Kidimbwi FC. Hapana shaka ni mchecheto kuelekea tarehe 3/ya mwezi wa Saba.Huwezi kuishtaki TFF serikalini kwa kuahirisha muda wa mechi wakati Serikali ndio waliotoa agizo la kuahirisha mechi. Kuhusu Morrison Simba Kama watakuwa serious kuwashtaki Yanga CAS kwa kitendo Cha kumuekea Mizwengwe mchezaji wao basi Yanga wataingia matatizoni. Morrison huyo kacheza caf champion league mpaka Simba kaishia walipoishia halafu unaleta story za Bernard Morrison kuwa ni mchezaji wa Yanga? Wapumbazeni wanayanga waache kuhoji suala la Carinho kwa kuleta ishu Morrison.

    ReplyDelete
  2. Huyu tarimba nilikuwa namwona mtu kumbe bonge la utopolo, unawezaje kuongea upuizi kama huu bungeni kwa kubase kwenye porojo za mitandaoni? Inasikitisha sana kuwa na wabunge wa aina hii. Bora angeongea kiutani tungemuelewa. Simba wana haki ya kupiga chini udhamini wa sportpesa, haipe dezi kudhaminiwa na adui yako

    ReplyDelete
  3. Ina maana hajui aliyeahirisha mechi ni nani? Hajui ni jani wlikimbia mechi? Kumbe kuvaa suti na tai sio dalili ya uungwana kama akili yako imejazwa utopolo

    ReplyDelete
  4. Tarimba amejivua nguo, mtupieni hata tambara bovi afunike naniliu zake

    ReplyDelete
  5. Mbona ukweli ukisemwa mnatoa mapovu?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic