MZEE wa utopolo shabiki wa Yanga ameweka wazi kwamba namba ambayo ameweka Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba haipatikani kila anapopiga haipatikani, ameweka wazi kwamba yeye anaongea ukweli muda wote. Kwa wale ambao wanasema kwamba wana Yanga huwa anawaambia kwamba Yanga ni ya Wananchi.
Huyu ana umuhimu gani hadi kilakuchwao mnatuletea thread mbili tatu? Huyu kule yanga ana cheo gani kwa nfano?
ReplyDeleteManara ni profeshinali haongei porojo ni mtu ambae hakuna anaeweza kumuweka kwenye kona mawazo yake ni ya kitaalamu
ReplyDeleteKweli kabisa angelikuwa msemaji wa kujenga, matopolo wenzake wangemuweka yeye wa kuisemea yanga badala ya Nguwaz
ReplyDelete