LEO Juni 22, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu mbili zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Tanzania Prisons itawakaribisha Coastal Union, Uwanja wa Nelson Mandela.
Simba itawakaribisha Mbeya City Uwanja wa Mkapa.

Walete walete kwa mkapa!!!
ReplyDelete