June 19, 2021

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa walipata nafasi chache mbele ya Polisi Tanzania jambo walilolifanya washindwe kufunga mabao mengi ila jambo la msingi kwao ni kupata pointi tatu.

 Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini amesema kuwa aliwaambia wachezaji wake mapema kwamba wawe makini na mipira iliyokufa jambo ambalo lilikuwa tofauti kwao na mwisho ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Polisi Tanzania 0-1 Simba. 

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic