June 19, 2021

SHABIKI wa Simba amefunguka kuwa nyota wao Bernard Morrison asiwapande kichwani kutokana na kitendo ambacho alichokifanya baada ya kutaka kufanyiwa mabadiliko na mwisho wa siku akaingia Hassan Dilunga.

Simba leo ilikuwa na kibarua mbele ya Polisi Tanzania na baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Polisi Tanzania 0-1 Simba. 

 

1 COMMENTS:

  1. Kwani kuna shida? Mtunzeni mental fresh wenu.. hahaha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic