LEO Jumanne Uwanja wa Wembley kutakuwa na mchezo wa nusu fainali ya Euro 2020 kati ya Italia v Hispania.
Rekodi zinaonyesha kuwa Italia imeshinda mara mbili mbele ya Hispania ikiwa ni katika mchezo mmoja wa kirafiki na ule wa Euro 2016 hatua ya makundi baada ya kukutana mara 14 katika michuano tofauti.
Ndani ya michuano ya Euro watakuwa wanakutana kwa mara ya saba ambapo kwenye michuano hiyo mitatu iliyopita zilikutana hatua ya mtoano 2008 fainali ya 2012 ambapo Hispania ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Italia mabao 4-0 huku 2016 Italia ikitolewa na Hispania.
Italia watakuwa wanacheza nusu fainali yao ya 12 dhidi ya Hispania ndani ya Euro na Kombe la Dunia.
Mpaka timu hizi zinakutana Italia katika michuano hii kwenye mechi zake tano haijapoteza kama ilivyo kwa Hispania.
Saa ngapi mechi ita anza??
ReplyDeleteKick off time please?
ReplyDelete