July 17, 2021


 MUONEKANO wa ndinga ya timu ya Ihefu FC ya Mbeya ambayo ni msimu wake wa kwanza ndani ya  Ligi Kuu Bara ikiwa inapambana kupata nafasi ya kucheza hatua ya mtoano.


Ipo nafasi ya16 na pointi 35 baada ya kucheza jumla ya mechi 33, mkononi imebakiwa na mechi moja ambayo ni kesho Julai 18.


Itacheza na KMC ya Dar iliyotoka kusepa na pointi tatu mazima mbele ya JKT Tanzania

1 COMMENTS:

  1. Mbona hatujasikia mbwembe na maendelezo ya majisifu kama tulivoona kwengineko

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic