July 18, 2021

7 COMMENTS:

  1. Dunia nzima itasajiliwa yanga, si kwa speed hii jamani.

    ReplyDelete
  2. Ibenge atakula hela za gsm hadi aote kitambi, ameigeuza yanga kuwa tawi la AS Vita. Nilikuwa nawaza nini itatokea ikitokea vita ikapangwa kundi moja au kukutana na yanga kwenye michuano ya caf.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ushamba wee mikia.... Nyie mlipowachukua kagere,onyango na kahata mlikuwa tawi la gormahia..... Mikia tulizeni matako yenu

      Delete
  3. Na pia itaisajili yanga kuwa timu pekee yenye kukereketwa kwa mafanikio ya wengine na ndio maana hawala lolote wanalofanikuwa nalo

    ReplyDelete
  4. Maisha bila unafiki huaga hayaendi kabisa, hongereni sana mikia na unafiki wenu uendelee

    ReplyDelete
  5. Ibenge ameshaondoka VITA,au hamna taarifa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic