July 19, 2021

4 COMMENTS:

  1. Endeleeni na porojo kitaeleweka tu,muda utaongea nani bora kati ya simba na yanga,kwanza tarehe 25 mtani anapigwa ili abebwe kwa hisani za mnyama mdomo ukome,na huko mbele ndio kitaeleweka.

    ReplyDelete
  2. Maporojo kama hayo ndio yanayowatesa na kuzid kuwaweka pabaya lakini wamo kuendelea. Katika yote nini walichokifaidi isipokuwa kudharauliwa, kuchekwa na kupuuzwa. Ingelijuwa wameonja robo yale waliyoyapata tangu miaka ya Moo basi wangelijwenda uchi badala ya kushukuru Mungu

    ReplyDelete
  3. Kikosi cha kuokota. Si haba wamechukua points nne kwa mnyama, ktk Derby heshima imerudi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujui mpira,hujamfunga simba kwasababu wewe ni bora,na sio kila anaefungwa na simba ni dhaifu,maana kama ni hivyo basi jana ungemfunga dodoma,the time will tell endeleeni kudanganywa na media uchwara ila muda utaongea acha tusubiri.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic