July 17, 2021

3 COMMENTS:

  1. Ubingwa ni kazi ya msimu mzima. Ligi sio mashindano ya mtoano. Tuna point 80 Wana 73. Kama timu nyingine ni Vibonde Yanga wameshindwa vipi kuzifunga kwa miaka minne?
    Yanga wanasahau wakati wanachukua ubingwa ilikuwa vigumu pia kuifunga simba. Na records za karne hii Simba kaifunga yanga Mara nyingi. Azam sio mbabe Wa Simba!

    ReplyDelete
  2. Acheni wivu wa kijinga, mbabe ni yule aliyetwaa ubingwa

    ReplyDelete
  3. Waandishi mnadhalilisha Sana taaluma ya uandishi.... Uandishi sio kujiandikia tu unatakiwa uwe na uelewa wa mambo pia. Kama mnakosa uelewa wa mambo mnakuwa hamna tofauti na mtoto wa shule ya msingi ambaye anaweza kuandika imla

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic