July 17, 2021

IVO Mapunda kipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania pia aliwahi kucheza ndani ya Yanga na Simba amesema kuwa ni rahisi kuweza kumtengeneza mtoto akiwa na umri mdogo jambo ambalo linafanywa kwa sasa na kituo chake cha Ivo Mapunda, Mapunda amewapongeza Simba kwa kusema kuwa walistahili kutwaa ubingwa kutokana na maandalizi ambayo wameyafanya.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic