July 2, 2021


AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na wanahitaji pointi tatu mbele ya watani zao kesho Julai 3.

 Kuelekea kwenye mchezo huo amesema kuwa kila mtu anafahamu kwamba wakishinda watatangazwa kuwa mabingwa hivyo wataonyesha ukubwa wa Simba pamoja na ukubwa wa wachezaji ambao utawatangaza kuwa mabingwa wa 2020/21.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic