VIDEO: NAMNA NAMUNGO WALIVYOWAPIGIA SIMBA MAKOFI
NAMUNGO FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco kabla ya mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa leo Julai 18 waliwapigia makofi mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba kabla ya mchezo wa ligi kuanza. Baada ya dk 90 ubao ulikamilika kwa kusoma Simba 4-0 Namungo.
Wameewapigia Simba makofi kwasababu Namungo wastaarabu na ndio mana wanaendelea
ReplyDelete