VIDEO: TAZAMA AMBACHO AMEKIFANYA MO KWA MKAPA
LEO Julai 18 kikosi cha Simba kimetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambapo ilicheza na Namungo FC na baada ya dk 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 4-0 Namungo FC. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohamed Dewji, 'Mo' naye alikuwepo uwanjani.
0 COMMENTS:
Post a Comment