July 8, 2021

KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa walikuwa bora kipindi cha kwanza jambo ambalo limewafanya waweze kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KMC , jana Uwanja wa Mkapa.

 Kuhusu kuingia akitoka benchi na kubadili mchezo amesema kuwa ni suala la kusoma mchezo. Pia amegusia kuhusu kupoteza kwao mbele ya Yanga wa kufungwa bao 1-0 kwamba hakujawafurahisha hivyo suala hilo wanamuachia Mungu.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic