August 10, 2021

 UNGIZO jipya ndani ya Yanga, Khalid Aucho ameweka wazi kuwa sababu ya yeye kutosaini Simba ni kutofanya mazungumzo na timu hiyo moja kwa moja.



Awali kabla ya kutangazwa rasmi jana kiungo huyo raia wa Uganda alikuwa anatajwa kuibukia Simba ambayo nayo pia ilikuwa inasaka saini yake.


Sababu kubwa ya yeye kukubali kutua Yanga ni raia wa Uganda akiwa amecheza timu zaidi ya 11 ikiwa ni pamoja na timu ya Gor Mahia ya Kenya pamoja na Tusker FC.


Kiungo huyo amesema:"Kweli Simba walikuwa wanahitaji saini yangu ila sikuzungumza nao moja kwa moja ni wakala wangu alizungumza nao, mimi nikapenda kusaini Yanga kwa kuwa ni timu kubwa,".


Ni dili la miaka miwili amepewa akiungana na Heritier Makambo, Fiston Mayele hawa wanatoka Congo, pamoja na kipa kutoka Mali,  na mzawa Yusuph Athuman


13 COMMENTS:

  1. Nini kazi ya wakala? Kama unaweza kujisimamia kuna haja gani ya kuwa na wakala? Itakuwa inaleta mianganyiko bora aachane na wakala in future

    ReplyDelete
  2. Huyo ni wazi hana msimamo na kauli zake zisizoeleweka

    ReplyDelete
  3. Acha inyexhe tu tuonepanapo vuja daah wanachiwanachilimua uko tuxubli wale wakoxoajitu bac maana kamanawaona vile

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeandika lugha gani? au bado upo nursery school?

      Delete
  4. Wakala kaitumia Simba kupandisha dau hapo na watu wakajaa mule mule yaani bila kujua halafu wanajisifu kumbe ilikuwa kanyaboya tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ndio ukweli mtupu...wakala ametumia ngazi ya Simba kupandisha dau la usajili na Yanga akaona anamkomoa Simba.Simba ndio maana akamwambia wakala wake hana nia tena ya kuendeleza mazungumzo ya kumsajili Aucho.

      Delete
  5. yanga ni timu kongwe, sio kubwa sasa. TUSUBIRI MUDA UFIKE AONE

    ReplyDelete
  6. Mikia tulieni, hangaikeni kivyenu acheni kutufuatilia. Kwani na nyinyi si mnaboresha kikosi chenu?

    ReplyDelete
  7. Kwan huyo muuza maandazi hajaambiwa kwamba unakoenda timu kubwa simba iliyofika robo fainal mara mbili klabu bingwa na bingwa wa nchi mara4 mfululizo anajidanganya simba hawachukuwi wachezaji wa majaribio

    ReplyDelete
  8. Simba ya 12 kwa ubora Afrika na Yanga ni ya 1935 barani Afrika, kweli yanga ni club kubwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic