August 4, 2021

14 COMMENTS:

  1. Muhilu kalibu kwa mabingwa wa nchi sahau shida zote kale bata msimbaz

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muhilu Bonge la mchezaji hapa nimeamimi kikosi kazi kinachofanya usajili ndani ya simba kipo vizuri Asante. Mhilu mpambanaji naimami atatoboa ndani ya Simba.

      Delete
    2. Cha kuzingatia Muhilu ili utisue pale simba na pengine upae zaidi ya simba.
      (1)Kujifahamu wewe mwenyewe binafsi wapi ulitoka,wapi ulipo Sasa na wapi unataka kwenda.wewe ni miongoni mwa vijana waliopitia vilabu hivi vya kariokoo una kaexprience ya kuishi ndani ya hizi nyumba ni faida hiyo.Jifahamu pia kuwa umri bado unakuruhusu na ni miongoni mwa vijana wenye maumbo ya kazi kweli kweli licha umri kuwa bado unakuruhusu kufanya mengi,ni faida nyengine hiyo Kama utautumia vizuri mawili wako katika kuimarisha ufanisi wako wa kazi. Huna haja yakwenda Simba ukaanza kuwaonea aibu akina Mugalu nenda kafanye kazi akina Mbape pale PSG hawaangalii umri wa mtu Wana kiwasha tu binafsi nnaimani utakuwa miongoni mwa vijana wazawa watakaocheza simba kwa mafanikio ndani nje ya ligi Ila kamwe usisubiri umri wako kukufanyia Jambo isipokuwa unatakiwa kuufanyia Jambo umri wako Sasa na kuprove watu wrong. Kiswahili Safi wanasema mfanye bosi akutegemee wewe na sio wewe umtegemee bosi hapo ndipo utakapopata amani kazini.
      (2) Nidhamu kazini. Tunasema nidhamu kazini sio kuzungumza na watu vizuri peke yake na kuwaheshimu wakubwa na wadogo, hapana. Nidhamu tunayoizungumzia hapa hasa kwenye football ni kujituma,kujitunza na kujifunza kila siku.tatizo la vijana wetu wa kitanzania wanakosa uthubutu wa kuwa na hamu ya kuwa juu katika maendeleo na kuishi kule. Wakipata kidogo makalio yanavimba nakuanza kupuuzia majukumu yaliowafanya kuwa hapo walipo. Haya ni machache Yusufu Muhilu nenda Simba kafanye kazi acha uoga,Jiamini zaidi bila ya kumdharau mtu utafanikiwa inshaAllah.
      Kwani huku kunakokujiamini ndio Donda sugu linalosumbua wachezaji wetu wa kitanzania.

      Delete
  2. Safi Sana, huyu siye wa kupambana kushuka daraja hata kidogo

    ReplyDelete
  3. Karibu upige kazi, muhimu usibweteke

    ReplyDelete
  4. Karibu uuwe kipaji chako Simba.Nimeamini wachezaji wa Bongo vilaza nafikiri na Shule inasaidia sometimes.Ujajifunza ya Salamba,Haruna Shamte,Ndemla,Miraji Athuman,Farid Mussa,Wazir Junior,kweli sikio la kufa halisikii dawa.Time will tell us

    ReplyDelete
  5. Sasa unataka aendelee kutesekea kipsji akiwa kagera? Acha wivu mpira ni kazi na kila mti anahitajo kipato. Muhimu apambane

    ReplyDelete
  6. Mimi ni shabiki wa Yanga lakini katika moja ya maamuzi yaliyonikera misimu mitatu iliyopita ilikuwa ni kumuacha Mhilu na kusajili mizigo fulani na niliandika humu kuwa Mhilu anaujua mpira na ipo siku atawaumbua Yanga kama alivyowaumbua Dilunga na kweli yamejiri.

    ReplyDelete
  7. Muhilu ili upate nafac ni lazima upambane ucbweteke kwavile uko cmba ukajiona we ndo bac mpira unaujua hapana ili kuyafikia malengo yako ni lazima uchuje jasho la damu mdogo angu. All in all welcom simba sc

    ReplyDelete
  8. Asante Simba bila kelele Banda na Mhilu watoto halafu wanajua soka yajayo yafurahisha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic