IMEELEZWA kuwa Kaimu Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho.
Kamwaga alichukua mikoba ya aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ambaye alichimba kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na uongozi.
Alipotafutwa Kaimu Ofisa Habari wa timu hiyo Kamwaga kwa njia ya simu hakuweza kupokea hivyo jitihada bado zinaendelea.
Kupitia ukurasa wa Instagram, Kamwaga ameandika kuwa ameshangazwa na taarifa hizo ambazo hazina ukweli.
Kama nikweri kinachozungumza BC kunatatizo ndani ya uongozi wa simba
ReplyDeleteInamchukua mwenye akili muda mfupi tu kugundua hii timu ni mali ya familia. Mashabiki mwisho uwanjani.
DeleteWaacha maneno mo atakusikia
DeleteUto mashabiki mwisho wapi? Wacha kuandika bila kufikili
DeleteHuyo anajisaulisha tu, kisha sahau Uto nao mashabiki mwisho GSM!
DeleteWachawi baada ya kufeli kwa Manara na habari njema zinazotaradadi kwenye mitandao ya kijamii ni Simba tu basi wanga wameshindwa uvumilivu Sasa wanaadhirika na uzushi. Sio utani mauzo ya wachezaji wa Simba na usajili wa viwango Simba imeiteka media na uzuri Zaidi hakuna kinachovuja bila kutolewa rasmi na Simba wenyewe.Hii inauma Sana kwa wachawi wanaoumwa na maendeleo ya Simba basi Mara hii mtaumwa Sana.
DeleteMpango wa Simba kubusti page yao us insta nyie hangaikeni na pumbazikeni
ReplyDeleteUwongo umekithiri. Kwanza iliandikwa kuwa kocha ws Al Ahli amegairi hamhitajii tena Konde Boy, amepata mchezaji mwengine bora kuliko Konde Boy na sasa wanasema aliyopapata Konde huko Misri ni kufuru mshahara ni mara tano kuliko alioupata kwa Simban
ReplyDeleteUtopolo mnahangaiko mno mnakufa bure. Fanyeni maandalizi ya timu yenu hao jamaa achaneni nao. Mti ana contract ya muda mfupi tuu miezi miwili atashindwa kuvumilia miezi mwezi mmoja uliobaki?
ReplyDeleteMwandishi msenge ww umeandika afungukia kubwaga manyanga halaf unasema hapokei simu mwandishi tumia weledi kuandika habar sio unakurupuka tu
ReplyDeleteMsenge mwenyewe
DeleteBundi kapiga kambi
ReplyDelete